Friday, April 10, 2015

Chelsea wako mbioni kuvunja Rekodi ya Manchester United na kuweka Historia ya kuwa ndio Timu iliyojikita kileleni kwa Siku nyingi katika Msimu mmoja.Msimu huu, Kikosi cha Jose Mourinho kimekaa karibu Siku zote kileleni mwa Ligi au kufungana na ni rasmi tangu Agosti 30 ndio walikaa kileleni na mwishoni mwa msimu huu wataweka Rekodi ya kuwa juu kwa Siku 274 ikiwa watabaki Nambari Wani.Msimu...
 Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa...
    Artist:Lady jaydee Ft Mazet&Uhuru Song: Give me love Producer:Uhuru Support Jaydee, Support Our O...
Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na waimbaji wenzake wa bendi ya Skylight ambao ni Ashura Kitenge(kushoto) na kulia ni John Music kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba. Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea...
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akikabidhiwa Jezi ya Bacelona namba 14 ya mchezahji wa zamzni akiwa kocha Johan Cruyff (kushoto)wakati wa hafla fupi ya chakula jioni  iliyofanyika jana Ikulu Mjini Zanzibar timu hiyo ilipokutana na...
Robin van Persie amejitangaza kuwa yupo vizuri kwa mchezo wa jumapili dhidi ya wapinzani wao wa jadi Manchester city. Van Persie amekosekana michezo sita ya Manchester united kutokana na kuumia enka wakati Man Utd walipopoteza kwa 2-1 dhidi ya Swansea tarehe 21 mwezi wa pili.Kocha Louis van Gaal wiki iliyopita alisema hakutegemea Van Persie kupona kwa haraka hivyo na kua vizuri kupambana...

waliotembelea blog