Steven Gerrard nae ndani akishuhudia timu yake ya zamani LiverpoolBolasie (wa pili kushoto) akishangilia bao lake VIKOSI:Liverpool XI: Mignolet, Clyne, Sakho, Skrtel, Moreno, Lucas, Can, Lallana, Ibe, Coutinho, Benteke Akiba: Bogdan, Lovren, Firmino, Allen, Origi, Brannagan, TeixeiraCrystal Palace XI: Hennessey, Kelly, Dann, Delaney, Souare, Zaha, Cabaye, McArthur, Puncheon, Sako, Bolasie Akiba:...
Monday, November 9, 2015


M. Samata anaipatia bao dakika ya 74, Bao la pili daika ya 90 kupitia kwa R. Assalé TP
Mazembe, wakiwa kwao Stade du TP Mazembe Lubumbashi, Congo DR,
wamenyakua Ubingwa wa Afrika baada ya kushinda Mechi ya Pili ya Fainali
ya CAF CHAMPIONZ LIGI kwa kuitwanga Union Sportive Medina d’Alger Bao
2-0 huku Straika mahiri wa Tanzania Mbwana Samatta akifunga Bao la
Kwanza. TP Mazembe imenyakua...


Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna bao!Meneja mpya Remi Garde Chini
ya Meneja mpya Remi Garde kwenye Mechi yake ya kwanza tu, Aston Villa
Leo wamegangamala na kutoka Sare ya 0-0 na Vinara wa Ligi Kuu England
Manchester City. Mechi hii iliyochezwa Villa Park, Nyumbani kwa Ason
Villa, Timu hiyo ambayo iko mkiani...


Marko Arnautovic akishangilia bao lake la pekee na ushindiMarko Arnautovic dakika ya 53 aliitangulizia bao Stoke City na kufanya bao kuwa 1-0 dhidi ya Chelsea.1-0Ramires akiachia shuti katika kipindi cha kwanza walichokimaliza 0-0VIKOSI:Stoke City: Butland, Johnson, Shawcross, Wollscheid, Pieters, Adam, Whelan, Shaqiri, Krkic, Arnautovic, Walters.
Akiba: Ireland, Wilson, Afellay, Diouf,...
Subscribe to:
Posts (Atom)