Thursday, September 12, 2013

Rais Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi katika mradi wa maji wa Kijiji cha Katunguru/Nyamtelela wilayani Sengerema, mkoani Mwanza juzi. Kulia ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe. Picha na Ikulu Rais Jakaya Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji wake, wataona aibu atakapomaliza muhula wake 2015 huku akiwananga baadhi ya wanaCCM kwa kushindwa kuyaelezea mafanikio ya...
 Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa mafunzo juu ya uzazi wa mpango SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI...  Warembo wakiwa mapokezi Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi...
WAKATI rufaa ya kupinga ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) ikitarajiwa kuanza kusikilizwa katika Mahakama ya Rufaa Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Wakili wake, Godfrey Wasonga, kimeiomba mahakama hiyo kuifuta kesi hiyo.Kwa mujibu wa wakili huyo, sababu ya kuomba kufutwa kwa kesi hiyo ni kutokana na walalamikaji wote kujitoa na kuapa mahakamani kuwa hawapo...
Msanii wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, punde baada ya kusaini mkataba utakaowezesha wateja kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh 50,000 kwa siku. Anayeshuhudia ni Salum Mwalim, Mejena wa Mahusiano ya Nje, Vodacom Tanzania. Msanii ...
  In this September 11, 2001 file photo, smoke pours off World Trade Center Tower 1 as flames explode from Tower 2 as it is struck by American Airlines Flight 175, after terrorists crashed hijacked airliners into the buildings. (AP Photo/Chao Soi Cheong) A fiery blasts rocks the south tower of the World Trade Center as the hijacked United Airlines Flight 175 from Boston crashes into the...

waliotembelea blog