Baadhi ya
wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na
warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea
Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa
mafunzo juu ya uzazi wa mpango
Warembo wakiwa mapokezi
Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi wa mpango na wakati salama wa umri wa kuanza kupata mtoto.
Meneja wa
Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham
Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango wakati warembo hao
walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.

Mmoja wa washiriki Salsha Isdori akiuliza swali...
Meneja wa
Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham
Msaki akiendelea kutoa darasa kwa warembo hao.
Mrembo
Prisca Paul akigawa mpira ya kiume 'Condom' kwa warembo wenzake. Mipira
hiyo pia hutumika katika njia za uzazi wa mpango pamoja na kujikinga na
magonjwa ya zinaa na Virusi vya ukimwi.
Picha ya pamoja kati ya warembo na wafanyakazi wa Maria Stop Kanda ya Kaskazini ilipigwa.
Meneja wa
Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham
Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango wakati warembo hao
walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.
0 maoni:
Post a Comment