
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mchumba wake.
Chanzo
makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole
nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu
ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo
mbalimbali.
“Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye
shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza...