Juma Kaseja akiwa mazoezini leo asubuhi katika uwanja wa Bora Mabatini - Kijitonyama
Mlinda mlango namba moja nchini Juma Kaseja Juma leo ameanza rasmi
mazoezi na timu yake mpya wa Young Africans katika uwanja wa Bora
Mabatini - Kijitonyama kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya
Vodacom na mashindano ya kimataifa.
Kaseja ambaye amesajiliwa na Young Africans...
Monday, December 2, 2013


Marehemu Paul Walker (kushoto) akiwa na staa mwenzake Vin Diesel wakati wakiandaa filamu ya
Fast & Furious 6.
Gari walilokuwemo Paul Walker na mwenzake Roger Rodas baada ya ajali hiyo.
Paul William Walker enzi za uhai wake. (Septemba 12, 1973 - Novemba 30, 2013)
Picha ya mwisho ya marehemu Paul William Walker wakati akiingia katika gari la rafiki yake muda mfupi kabla ya ajali.
Mashabiki...



Richie na Jb
Jana kulikuwa na mechi kati ya wasanii wa Bongo movie na wale wa
Bongofleva katika viwanja vya TTC Chang'ombe huku Bongofleva ikiishia
kunyukwa magoli 3 kwa 2. Mastaa mbalimbali kama vile Ray, Richie,
Jackline Wolper, H.Baba , Abdul Kiba, KR Mullah, JB, Baba Haji,
Efranciah Mangii, Shamsa Ford, Cloud na wengineo walikuwepo kwa ajili ya
kunogesha issue hiyo....
Subscribe to:
Posts (Atom)