Friday, August 21, 2015

Ikiwa imebakia siku moja kabla ya mchezo unaosubiri kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania kuuona, mchezo wa ngao ya Hisani kati ya Yanga na Azam FC, klabu ya Azam FC imethibitisha kuwakosa nyota wake kadhaa akiwemo Allan Wanga aliyekwenda Kenya wiki moja iliyopita kwa ajili ya msiba wa mama yake. Lakini pia itamkosa mshambuliaji kutoka Ivory Coast Kipre Bolou ambaye pia ni majeruhi lakini taarifa...
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema haikuwa nia ya Chelsea kuipiku Manchester United ili kumsaini Pedro kutoka Barcelona. Man United walikuwa tayari wameshakubaliana na Barcelona kuhusu Uhamisho wa Pedro ambae nae alishaafika maslahi binafsi na Man United lakini Dakika za mwisho Chelsea ikaingia na kumsaini. Habari toka Old Trafford zilitoboa kuwa Meneja Louis van Gaal ndie alieamua...
RATIBA: Jumamosi Agosti 22 1445 Man United v Newcastle 1700 Crystal Palace v Aston Villa 1700 Leicester v Tottenham 1700 Norwich v Stoke 1700 Sunderland v Swansea 1700 West Ham v Bournemouth Jumapili Agosti 23 1530 West Brom v Chelsea 1800 Everton v Man City 1800 Watford v Southampton ...
Klabu ya Manchester United ambayo msimu huu imedhamiria kupata saini za wachezaji mahiri watakaoweza kurejesha heshima ya kikosi chao kwani toka aondoke Sir Alex Ferguson, klabu hiyo imekuwa na wakati mgumu wa kurudisha makali yake ya awali. Njia pekee Man United walioamua kuitumia kukijenga upya kikosi chake ni kufanya usajili pekee ndio utakaoweza kuirudisha Man United katika ubora wake,...
Jose Mourinho ni miongoni mwa makocha wanaopenda wachezaji wenye asili ya Afrika August 19 2015 habari za kumsajili beki wa kimataifa wa Ghana aliyekuwa anaichezea klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani Baba Rahman na kujiunga na klabu ya Chelsea kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 21.7. Beki huyo wa Ghana mwenye umri wa miaka 21 huenda atapangwa kucheza beki ya kushoto namba ambayo ilikuwa ikichezwa...

waliotembelea blog