Wednesday, October 2, 2013

  Wayne Rooney akiteleza kuchukua mpira kwa   Ashley Young kwenye mazoezi yao  kabla ya kuelekea kucheza na Shakhtar Donetsk Ukraine   Rooney ambaye anachezea timu ya  Taifa ya Uingereza anatarajiwa kucheza kesho  Jumatano kwenye maudiano na timu ya Ukraine -Shakhtar Donetsk Jumanne Oktoba 1 na Jumatano Oktoba 2 Mashindano ya  UEFA CHAMPIONS LEAGUE,...
 Polisi wakiwa katika ulinzi mkali   Maduka yakiwa yamefungwa   Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yao  Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia  Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu  Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote  Maduka yote yakiwa yamefungwa...
  Ramires akiifungia timu yake Chelsea bao la kwanza na kufanya 1-0 dakika ya 19. Bao la pili wamejifunga wenyewe dakika za mwishoni za kipindi cha kwanza dakika ya 44 kupitia mchezaji wao Steaua Bucurest Daniel Georgievski aliyejimaliza mwenyewe baada ya patashika kwenye lango lao.   Mchezaji wa Chelsea Juan Mata akiongoza...
Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam Mbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwi Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi Dada akilia baada ya kuokolewa...

waliotembelea blog