
Leo
kuna bonge la mechi LA LIGA kati ya Miamba miwili inayoongoza ligi hiyo
Barcelona na Atletico Madrid, Mechi itayopigwa leo saa 4:00 usiku.
Atletico Madrid watakuwa kwao nyumbani wakiwakaribisha Barcelona. Timu
mbili zinazopigania nafasi ya juu-FC Barcelona wakiwa na Pointi 49 sawa
na Atletico Madrid wenye pointi 49 wakitofautiana magoli na wakishikilia
nafsi ya pili.
KIKOSI CHA BARCA:
Kikosi...