Saturday, January 11, 2014


Chelsea wakiwa ugenini kucheza na Hull City huko kwenye Uwanja wa KC kipindi cha kwanza kimemalizika wakiwa nguvu sawa ya kutofungana ya 0-0. Chelsea wanaoshikilia nafasi ya tatu wakiwa na pointi 43 wameshindwa kutamba katika kipindi hiki cha kwanza. Hull City wameshinda Mechi moja tu ya Ligi katika 7 Hivyo wanahitaji kushinda hii mechi na inawalazimu kucheza kwa kujituma zaidi katika kipindi cha pili baada ya kufanya mashambulizi ambayo hayakuzaa matunda katika kipindi cha kwanza.
Opener: Hazard (second left) rifles the ball past Hull keeper Allan McGregor
 

Glasses: Jose Mourinho was less than impressed with some of the official's decisionsGame over: Fernando Torres scored Chelsea's second goal of the game against Hull to secure three points
Fernando Torres ndie alie funga bao la pili dhidi ya Hull na kuiwezesha Blues kwenda kileleni leo!

 
 
 

 
 Eden Hazard akishangilia bao lake katika dakika ya 56 kipindi cha pili.
VIKOSI:
Hull City:
(4-5-1) McGregor 7; Chester 6 (Fryatt 77), Bruce 5, Davies 6, Figueroa 5; Elmohamady 5, Livermore 6, Huddlestone 6, Meyler 6 (Koren 67, 6), Boyd 6 (Quinn 83); Sagbo 5
Subs not used: Harper, Rosenior, Graham, Faye.
Booked: Livermore, Figueroa.

Chelsea (4-5-1): Cech 6; Azpiliucueta 5, Cahill 6, Terry 6, Cole 6; Willian 7 (Schurrle 87), Ramires 6 (Essien 89), Luiz 7, Oscar 6 (Mikel 79), Hazard 8; Torres 6
Subs not used: Schwarzer, Mata, Eto’o, Bertrand
Booked: Cahill.
Referee: Mark Clattenburg 6.
Man of the match: Hazard.
Att: 24,924


RATIBA/MATOKEO

Jumamosi Januari 11 
Hull City 0 v Chelsea 2 ft


Cardiff City v West Ham
Everton v Norwich 
Fulham v Sunderland 
Southampton v West Brom
Tottenham v Crystal Palace
20:30 Manchester United v Swansea


Jumapili Januari 12
17:05 Newcastle V Man City
19:10 Stoke V Liverpool
Jumatatu Januari 13

23:00 Aston Villa V Arsenal

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog