Tuesday, June 10, 2014

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 9, 2014 kwa mazungumzo na utambulisho wa balozi huyo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo...
Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Adam Kimbisa akitoa tamko la wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu sakata la kumvua madaraka spika wa bunge hilo wakati wa Mkutano uliofanyika katikamukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO).Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene.  Mbunge...
Timu ya taifa ya Cameroon 'Indomitable Lions' Cameroon sasa wameenda Brazil baada ya mzozo kuhusu marupurupu yao kutatuliwa. Wachezaji hao , almaarufu 'Indomitable Lions' walikuwa wamesusia kuingia ndegeni hadi marupurupu yao yaongezwe. Akiwemo nyota wao mshambuliaji wa Chelsea, Samuel Eto'o, walikuwa wamegoma kuingia ndegeni hapo Jumapili asubuhi hivyo safari ikachelewa kwa...
Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' alivyongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis kwa k,o ya raundi ya tisa na  kufanikiwa kunyakuwa ubingwa uho wa pili  kushoto ni bondia Shomari...
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kocha ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Uzinduzi wa kozi hiyo ya wiki mbili utafanywa leo (Juni 10 mwaka huu) saa 6 mchana kwenye hosteli za TFF zilizopo Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam....
Fainali za Kombe la Dunia zinazoanza Alhamisi Juni 12, Afrika inawakilishwa na Nchi 5. Zipo Ghana, Nigeria, Ivory Coast, Cameroon na Algeria na kila Mwafrika angependa kuona Timu hizi zikivunja ule mwiko wa kukwama Robo Fainali na kuziona zikitinga kwa mara ya kwanza Nusu Fainali za Kombe la Dunia. Mwaka 2010, huko Afrika Kusini, Ghana nusura watinge Nusu Fainali kama si ‘ushenzi’ wa Straika...
Sturridge and Welbeck were joined by Jack Wilshere, Adam Lallana and Fraser ForsterThe Manchester United forward learns the Brazilian martial art capoeira Liverpool striker Sturridge shows off his dancing movesLiverpool striker Sturridge shows off his dancing mov...

waliotembelea blog