Monday, August 10, 2015

Chelsea wamekubaliwa kumsaini Beki wa Ghana Baba Rahman. Beki huyo mwenye Miaka 21 anaichezea Klabu ya Germany FC Augsburg na atagharimu Pauni Milioni 20 huku Pauni Milioni 14 zikilipwa kwanza na nyingine Pauni Milioni 6 zitalipwa akifikisha Mechi 100. Baba Rahman amenunuliwa baada ya Chelsea kutonywa na Meneja wao wa zamani Avram Grant ambae sasa ni Kocha wa Timu ya Taifa ya Ghana. Fulbeki...
Kepteni wa Lazio ya Italy Lucas Biglia ameafika Mkataba wa Miaka Minne Klabu hiyo ya England. Ripoti hizo, ambazo chanzo chake ni Wasambaza Habari wa France Le10sport.com, zimedai Kiungo huyo alishaafikiana maslahi yake binafsi na Man United na kilichobaki ni Klabu husika kukubaliana Ada ya Uhamisho. Imedaiwa Man United imetoa Ofa ya Pauni Milioni 17 lakini Lazio wanataka Pauni...
Bao la tatu limefungwa kipindi cha pili dakika ya 59 na Vincent Kompany kwa kichwa baada ya kupigwa kona na David Silva. Picha hapo juu ni Fernandinho akimpongeza Yaya Toure baada ya kuipa bao tena. Ushindi huu mwepesi kwa City umewapandisha juu kileleni na kuanza msimu vyema na kwa kupata bao nyingi kuliko wengine walianza msimu rasmi tangu hapo jumamosi agosti 8. Mechi inayofuata kwa...
MABINGWA wa zamani wa England, Manchester City wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu kwa ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya West Bromwich Albion usiku wa kuamkia leo. Shujaa wa mechi alikuwa na kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Yaya Toure aliyefunga mabao mawili, lingine likifungwa na beki Mbelgiji, Vincent Kompany. Mwanasoka bora Afrika, Yaya Toure alianza kuifungia Manchester...
TIMU ya Esperance ya Tunisia imefufua matumaini ya kusonga mbele Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia ushindi wa bao 1-0 ugenini jana dhidi ya wenyeji Stade Malien mjini Bamako, Mali. Shukran kwake, mfungaji wa bao hilo pekee, Mnigeria, Samuel Eduok huo ukiwa ushindi wa kwanza kwa ‘Damu na Dhahabu’ na kumaliza wimbi la kufungwa mechi tatu. Mechi ...
Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios.  Mtangazaji, Dina Marios akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
Daktari wa klabu ya Chelsea Eva Carneiro amewashukuru masabiki wa klabu hiyo ambao walichukua muda wao na kutuma ujumbe wa kumuunga mkono baada ya kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kumshutumu kufuatia tukio lililojitokeza kwneye mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya England kwa mabingwa hao dhidi ya Swansea. Huku matokeo yakienda kinyume na matarajio ya kocha huyo...
Beki wa kati wa klabu ya Real Madrid Sergio Ramos anatarajia kusaini mkataba mpya na klabu yake mpaka kufikia alhmis ya wiki hii baada ya kufikia muafaka na uongozi wa klabu hiyo katika mazungumzo ambayo yamedumu kwa muda wa mwezi mzima. Kusaini kwa mkataba mpya kwa beki huyu kunafikisha ukomo kwa tetesi kadhaa ambazo zilimhusisha na kuihama Real Madrid...
Leo Usiku Mabingwa wa zamani wa England Manchester City wanaingia Ugenini The Hawthorns kucheza na West Bromwich Albion katika Mechi yao ya kwanza kabisa ya Msimu mpya wa Ligi Kuu England. Hii ni Mechi ya mwisho ya Raundi ya kwanza kwa Timu 20 za Ligi Kuu England ambazo zilianza mbio zao za Msimu mpya hapo Jumamosi na Jana Jumapili huku ikishuhudiwa Mabingwa Chelsea kutoka Sare 2 kwa...
.Huku Wachambuzi wakimnyooshea kidole Kipa mpya wa Arsenal Petr Cech kwa kufanya makossa yaliyoruhusa Bao zote walipopigwa 2-0 Leo kwao Emirates na West Ham katika Mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England kwa Msimu mpya, Meneja Arsene Wenger amekataa kumshushia lawama Kipa huyo. Cech, alienunuliwa kutoka Chelsea, aliutokea Mpira wa Frikiki ili aupanchi lakini akaukosa na kutoa mwanya kwa...
Oxford alimkaba Mtu mzima Mesut Ozil wa Arsenal na aliyenunuliwa £42.5million leo jumapili kwenye Uwanja wa Emirates, West Ham wameshinda bao 2-0 dhidi ya Arsenal. Chipukizi Reece Oxford wa West Ham ameweka rekodi kwa kuwa mchezaji mchanga zaidi wa saba na umri wa miaka 16. Oxford alipumzishwa na Meneja mpya wa West Ham Slaven Bilic kipindi cha pili dakika ya 79.Reece Oxford leo wakati...
James Milner, Martin Skrtel, Emre Can na Roberto Firmino wakifurahia bao la Philippe Coutinho kwenye dakika za mwishoni kwenye Uwanja wa Stoke City Britannia Stadium1-0 full time! Akiachia shuti kali lililozama moja kwa moja langoni Jordan Henderson akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao Mchezaji wa Stoke  Glen Johnson akituliza kiuzuri mpira mbele ya Meneja wa Liverppool...
Full time, Arsenal 0 vs 2 West Ham UnitedMeneja mpya Slaven Bilic ameanza Ligi Kuu England kwa kuiongoza Timu yake West Ham kuitandika Arsenal 2-0 kwenye Dabi ya Jiji la London huko Emirates na kumfanya Meneja wa Arsenal Arsene Wenger kutoamini kilichomkuta na kubaki kushika kichwa, West Ham, ambao walimchezesha Kijana wa Miaka 16 Reece Oxford, walifunga Bao lao la kwanza baada ya Kipa...

waliotembelea blog