NA Mwandishi Wetu,TANGA.
TIMU ya Coastal Union imewasili
jijini Tanga ikiwa na mikakati mizito ya kuhakikisha inawanyamazisha
wapinzani wao Azam FC ikiwa ni muendelezo wa Michuano ya Ligi kuu soka
Tanzania bara mchezo unaotarajiwa kucheza kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani
wikiendi ijayo.
Akizungumza leo na waandishi wa
habari, Ofisa...
Monday, March 16, 2015


Rooney akishangilia kwa Mashabiki Old Trafford baada ya kuifungia bao la tatu Man United mbele ya Mashabiki 75,112.Boxing!!Rooney akishangilia kwa aina yake baada ya kuifungia bao la mwisho Man United leo dhidi ya SpursDakika
ya 34 Kepteni Wayne Rooney alipiga Bao la 3 alipounasa Mpira karibu ya
Mstari wa Kati na kuwapita Mabeki wa Spurs Dier na Rose na kisha
kumhadaa Kipa Hugo Lloris na...


Baadhi ya Wachezaji wa Chelsea akiwemo Terry wakiwa vichwa chini baada ya kugawana pointi na Sant'sMpaka dakika zinayoyoma ilikuwa ni 1-1John Terry akiwa hoi!!Dakika ya 19 Southampton walisawazisha bao kwa penati kupitia kwa Mchezaji wao Dusan Tadic na kufanya 1-1. 1-1Dusan Tadic hakufanya makosa!Kipindi
cha pili pamoja na kwamba kilikuwa cha kushambuliana hakuna aliyeliona
lango la Mwenzake....


Wenyeji
Everton waliichapa Newcastle Bao 3-0 kwa Bao za Dakika ya 20 za John
McCarthy, Penati ya Romelu Lukaku ya Dakika ya 56 na la 3 kwenye Dakika
za Majeruhi kupitia Ross Barkley. Newcastle walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Beki wao Fabricio Coloccini kupewa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 59.Dakika
ya 90 Ross Barkley aliwafungia bao la tatu na la mwisho likihitimisha
bao kuwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)