Friday, February 6, 2015

Santi Cazorla akiteta na Aaron Ramsey wakati wa Mazoezi hii leo huko London Colney kwenye Uwanja wa Mazoezi tayari kwa kipute chao na Spurs kesho jumamosi. Dabi ya London Kaskazini.Cazorla akiwa full matabasamu Hector Bellerin akifanya yake kwenye Mazoezi leo Ijumaa Jumamosi kesho ndani ya White Hart Lane, Wenyeji Tottenham wataikaribisha Arsenal kwenye Dabi ya London ya Kaskazini na...
Jumamosi kesho kwenye Ligi Kuu England, Mechi ya kwanza kabisa ya Ligi huko White Hart Lane, Wenyeji Tottenham wataikaribisha Arsenal kwenye Dabi ya London ya Kaskazini na Mechi hii licha ya kuwa ni Dabi pia ina ushindani wake wa kulilia kuwemo 4 Bora kwani Arsenal wako Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 2 mbele ya Tottenham walio Nafasi ya 6. Mechi ya mwisho kwa Siku ya Jumamosi ni ile Dabi...
Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na...

waliotembelea blog