Sunday, August 10, 2014

  Daniel Sturridge akicheza muziki kama kawaida yake baada ya kufunga bao lake katika dakika ya 10 dhidi ya  Borussia Dortmund Kocha wa Liverpool  Brendan Rodgers akisalimiana na kocha Jurgen Klopp kabla ya mtanange kuanza  Glen Johnson akimtawanya mchezaji wa  Borussia Dortmund Patrick Aubameyang Sturridge alifunga bao na kufanya  1-0 dhidi ya Dortmund ndani...
Nyota wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki. Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara...
Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo. Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora...
baadhi ya wadau wa Bavaria wakibadilishana mawazo wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na jovet Tanzania limited wasambazaji wa kinywaji cha Bavaria eneo la afrika mashariki Ndugu Justus kyolike meneja masoko mkazi wa Bavaria akiteta na wadau wa Bavaria Mkurugenzi mkuu wa Jovet Tanzania Limited ndugu John Kessy akitafakari jambo wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia wakala...
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya  Msama  Promotion Bw. Alex Msama kulia na mwimbaji wa muziki wa injili Bonny Mwaiteje katikati na Mwimbaji Chengula kushoto wakati wa tamasha la uzinduzi wa Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo akisindikizwa na...
Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi. Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri...

waliotembelea blog