
Dabi
ya Kariakoo uliochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Leo
ulishuhudia Mtu Simba ikitoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuichapa Yanga 2-1. Yanga
walifunga Bao lao Dakika ya 5 kwa Penati ya Simon Msuva iliyotolewa baa
Fowadi wao Obrey Chirwa kuangushwa na Beki Novatus Lufunga. Dakika
ya 55 Simba walibaki Mtu 10 baada ya Mchezaji wao Janvier Besala
Bokungu kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu...