Thursday, July 16, 2015

Tuzo za African Entertainment Awards (AEA) ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa kuonyesha ukubwa  na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa. Tuzo hizi zinahusisha reception ya red carpet, live performace za wasanii, live performance za comedy na ofcoz kutolewa kwa Tuzo kwa wasanii...
Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii.. Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu? Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu.. lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi? Karibu sana ndani...
Ndani ya masaa 72 tu mahusiano mazuri kati ya golikipa wa Manchester United Victor Valdes na kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal yamevunjika, tofauti kati yao ilianza wakati Valdes alipogoma kucheza kikosi cha wachezaji wa akiba. Maswali yalianza kutawala baada ya Valdes kuenguliwa na David de Gea kujumuishwa kikosini licha ya kuhusishwa pia na story...
Chelsea ndio mabingwa wa ligi kuu ya England msimu uliomalizika..saa hivi tayari wameanza maandalizi ya kutetea ubingwa wao kwa mara nyingine na wameamua kusafiri hadi Canada kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi hiyo. Hapa kuna Pichaz 10 jinsi wachezaji walivyowasili Canada…     ...
Real Madrid ndio timu tajiri zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo kulingana na jarida la biashara la Forbes.Kilabu hiyo ya Uhispania ina thamani ya pauni bilioni 2.08 huku timu ya soka ya Marekani Dallas Cowboys na ile ya New York Yankees zikichukua nafasi ya pili kwa pamoja na thamani ya pauni bilioni 2.04.Mahasimu wakubwa wa Real Madrid Barcelona wanachukua nafasi ya nne wakiwa na thamani...
Nigeria imemchagua aliyekuwa mchezaji wa Nigeria Sunday Oliseh kocha mpya wa Nigeria.Oliseh mwenye umri wa miaka 40 ameweka kandarasi ya miaka mitatu na anamrithi Stephen Keshi ambaye alifutwa kazi mwanzo wa mwezi Julai.''Tuna vipawa vya kubadilisha hatma yetu ili kurudisha heshima tuliokuwa nayo na kuhakikisha kuwa tunapata matokeo mazuri'',alisema Oliseh. ''Hii ni kazi kubwa barani Afrika,tukiungwa...
Charles Misheto anaingia katika headline tena ya kuongeza idadi ya wachezaji wa kitanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya mipaka ya Tanzania, taarifa hiyo inakuja ikiwa ni siku chache tu toka aliyekuwa beki wa Simba B Emily Mugeta kujiunga na klabu ya Neckarsulm ya nchini Ujerumani inayoshiriki ligi daraja la tano. Charles Misheto amejiunga katika klabu ya Rabestein ya Ujerumani inayoshiriki...
Unamkumbuka Rivaldo? unakumbuka alichofanya katika michuano ya World Cup 2002, Vipi unamkumbuka yule mtoto aliyemzaa miaka 23 iliyopita? unakumbuka kuwa ni miongoni mwa wachezaji wanaounda kikosi bora cha Brazil katika kipindi cha miaka kumi kikiwa kimesheheni mastar kama Ronaldinho, Cuf, R.Carlos, Lucio, Gilberto, Ronaldo, Edmilson, R .Junior, Kleberson? Basi yupo kwenye headlines tena na mtoto...
Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana. Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamalizia muda wake sasa. Binti wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema...

waliotembelea blog