Marcelo akipongezwa na Kocha wake Carlo Ancelotti baada ya kufunga bao la piliCristiano
Ronaldo 26 alifunga bao la kwanza dakika ya 26 kipindi cha kwanza na
Marcelo alifunga la pili dakika ya 79 kipindi cha pili na kufanya 2-0
dhidi ya Wenyeji Schalke 04. Na Mtanange kumalizika kwa bao hizo 2-0.Schalke kichuchupu nao wapate bao la kufutia machozi hapa lakini mpira uligonga mwamba...