Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa michezo wa
Jamhuri mjini Dodoma na kuvikwa skafu tayari kuongoza maadhimisho ya
Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu2015 na kumbukumbu ya miaka
16 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia
kupiga kura katika uchaguzi Mkuu...
Wednesday, October 14, 2015



Licha ya kuwa ilishafuzu kucheza Euro 2016 nchini Ufaransa,
Ubelgiji imeendelea vipigo katika mechi za kuwania kufuzu kwa kuichapa Israel
3-1.
Ushindi huo wa mabao ya Eden Hazard na De Bruyne umeifanya
Ubeigiji kushika namba moja kwa viwango vya Fifa dunia.
Ubelgiji imeiangusha Argentina na Ujerumani zilizokuwa zinashika
nafasi ya pili na tatu.
Ubelgiji ilikuwa katika nafasi ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)