
Dagaa mchelee, Changuuu, Kibuaaaa, Satoo, Dagaa kambaa, Sangaraaa, Peregeee.
Samakiiii.
Kweli wote hao ni samaki, tena ni samaki wanaopendwa sana na wala
samaki sio Tanzania tu, bali duniani kote. Upenzi wa samaki hautokani na
utamu wake tu, bali pia unatokana na obora na virutubisho alivyonavyo
samaki kwa afya ya binadamu.
Samaki
ana madini ya Chuma, Chokaa na Ayodini kwa...