Tuesday, September 9, 2014

Robin van Persie anaamini Louis van Gaal ataiongoza Manchester United kwenye mafanikio baada ya kukiboresha Kikosi cha Timu yao kwa kununua Masta 6 wapya wenye hadhi ya Kimataifa. Kwenye Siku ya mwisho ya Dirisha la Uhamisho, Man United iliwanasa Mchezaji wa Kimataifa wa Holland Daley Blind na Supastaa wa Colombia Radamel Falcao ‘El Tigre’ ambao walifuatia kuchukuliwa kwa Mchezali ghali...
+9 Anataka zaidi? Paul Pogba (kulia) atalipwa paundi elfu 23 kwa wiki kwa wakati huu katika klabu yake ya Juventus LIGI ya Italia imeshuka umaarufu wake ukilinganisha na ligi nyingine za ulaya na hii inatokana na mishara ya wachezaji wa Seria A iliyotangazwa jumatatu ya wiki hii. Daniele de Rossi  ndiye mchezaji anayelipwa zaidi ambapo anachukua paundi laki moja kwa...
' Watu wa hela: Makamu mwenyekiti wa United Edward Woodward (katikati), Joel Glazer (kushoto) na Richard Arnold (kulia) MANCHESTER wanatarajia kutangaza rekodi ya mapato leo ambayo inakadriwa kufikia paundi milioni 420 kwa msimu uliopita, huku wakipata faida ya paundi milioni 25 kutokana na mauzo ya mamilioni ya jezi duniani kote. Mapato hayo ya mwaka pia yatahusisha fidia...
WAKATI Neymar akifurahishwa na uongozi wa Kocha mpya wa Brazil Dunga huku wakijitayarisha kuivaa Ecuador Jumatano huko New Jersey, USA baada ya Ijumaa kuifunga Colombia, Fulbeki Maicon ametimuliwa kwenye Timu hiyo. Ripoti toka ndani ya Kambi ya Brazil huko Marekani zimedai Maicon, ambae anaichezea AS Roma ya Italy, amefukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu huku Mitandao ikijaa kila aina ya...

waliotembelea blog