Sunday, August 24, 2014

Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania 11 Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends. Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa. Hekaheka langoni mwa Tanzania. Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza. Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11,...
Wachezaji wa Everton wakipongezana baada ya kupata bao zao mbili za kipindi cha kwanza.Seamus Coleman Dakika ya 19 kipindi cha kwanza aliwapachikia Everton bao la kwanza nakufanya 1-0 dhidi ya Arsenal baada ya kulishwa mpira na Gareth Barry.  Dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza Steven Naismith aliwafungia bao la pili Everton na kufanya 2-0 dhidi Gunners baada ya kazi...
  Taswira kamili Uwanja wa taifa Jijini Dar es selaam.MBELE ya Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Leo kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Malejendari wa Real Madrid waliwachapa wenzao wa Tanzania Bao 3-1 kwenye maalum ya Kirafiki iliyohudhuriwa na Washabiki wengi.Bao zote za Real zilifungwa na Kiungo wao wa zamani Reuben de La Red, mwenye Miaka...

waliotembelea blog