...
Wednesday, May 21, 2014



Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu ,
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu ,
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada...


Shirika
la kutetea haki za binadamu Human rights watch limeishutumu serikali ya
Somalia kwa kuwanyima wafungwa haki za uakilishi wa wakili na
kuwashitaki raia wa kawaida chini ya mahakama za kijeshi.
Shirika
hilo limesema kuwa mamia ya raia wanahukumiwa kwa sheria kali
wasizoelewa. Human rights watch pia imesema kuwa raia wengi wamejikuta...


Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara
akizungumza na ujembe wa watu kutoka Congo hawapo pichani waliomtembelea
ofisini kwake kuwaalika wasanii kutoka Tanzania kushiriki katika
sherehe za fiesta nchini Congo kwa lengo la kudumisha amani na
mshikamano katika nchi za maziwa makuu. Kulia ni Mwenyekiti wa sherehe
za fiesta kutoka Congo Bi. Anne...



Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Japan, Yoshihiro
Suga, wakati alipofika ofisini kwake Jijini Tokyo Japan leo Mei 21,
2014, akiwa katika ziara ya kikazi. Picha na OMR
Serikali
ya Japan imeelezea nia yake ya kuendelea kuchangia bajeti ya Tanzania
na kufafanua kuwa, inafanya...



Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2014/2015) unaanza Juni 15 hadi
Agosti 3 mwaka huu wakati kipindi cha kutangaza wachezaji walioachwa au kusitishiwa
mikataba ni kuanzia Juni 15-30 mwaka huu.
Kipindi cha kwanza cha uhamisho wa wachezaji ni kuanzia Juni 15 mwaka huu hadi Julai
30 mwaka huu. Kupitia majina na kutangaza pingamizi ni kati ya Agosti 4 na 11 mwaka
huu. Kuthibitisha...



Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20
(Ngorongoro Heroes) chenye watu 25 kinaondoka kesho alfajiri kwenda
Nigeria kwa ajili ya mechi ya marudiano dhidi ya Nigeria (Flying
Eagles).
Mechi hiyo itachezwa Jumamosi (Mei 24 mwaka huu) katika Jiji la Kaduna
kwenye Jimbo la Kaduna ambalo lipo katikati ya Nigeria. Msafara wa timu
hiyo unaoongozwa na Mjumbe wa Kamati...


Mechi
ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani nchini
Morocco kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Zimbabwe iliyochezwa Jumapili
katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 63,345,000.
Mapato
hayo katika mechi hiyo iliyomalizika kwa Taifa Stars kuibuka na ushindi
wa bao 1-0 yametokana na washabiki 11,079 waliokata tiketi kushuhudia...


Nini matarajio ya africa katika Kombe la Dunia ?
Timu za Africa
Zitafanya Vizuri Brazil. Na kuna sababu za kusema haya kwani Tunaubora
unaostahili . Katika michuano mikubwa ya Ulaya Kuna mchezaji Mmoja
kutoka Africa katika ligi za ulaya , Na wachezaji hao wanacheza kwa
kiwango kikubwa .
Tatizo kubwa Africa ni kuwa Viongozi hawatuheshimu .Ni mpaka
Tuheshimiwe ,Na hatuwezi...


WAKATI dirisha la usajili wa
ligi kuu soka Tanzania bara likiwa njiani kufunguliwa, wakata miwa wa
Kaitaba, `Wanankulukumbi` Kagera Sugar wamegoma kufanya usajili wao kwa
mfumo wa majaribio .
Kocha msaidizi wa klabu hiyo,
Murage Kabange amesema tayari wameshapata wachezaji 30 na tayari
wameanza mazungumzo ya awali na baadhi ya wanandinga hao.
“Siku...


Diego Costa akiwa mjini Belgrade kwa lengo la kuonana na mganga wa kienyeji.
MSHAMBULIAJI wa Atletico
Madrid, Diego Costa amesafiri kwenda Belgrade nchini Serbia kumuona
`Mganga wa miujiza`, Marijana Kovacevic ili amtibu na kurejea uwanjani
haraka kwa ajili mchezo mkubwa zaidi katika maisha yake ya soka.
Mganga huyo wa Serbia anawatibu...
Subscribe to:
Posts (Atom)