Friday, August 15, 2014

  Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Balozi Khamis Kagasheki(kushoto, ndie akuwa Mgeni rasmi  katika Tamasha la Serengeti fiesta 2014 katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Tamasha lililofanyika leo Ijumaa 15.08.2014. Tamasha hili litaendelea tena kwenye miji mingine na sasa baada ya kufanyika hapa Bukoba linahamia kwenye Mji wa Kahama Jumapili kesho kutwa tarehe 17.Viongozi mbalimbali...

waliotembelea blog