Marcio Maximo
KOCHA wa Yanga, Marcio Maximo amesema pamoja na kumpa mkataba wa
miaka miwili mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’, bado anahitaji
kuona uwezo wa washambuliaji wawili raia wa Uganda, Hamisi Kiiza na
Emmanuel Okwi.
Yanga inalazimika kuachana na mchezaji mmoja wa kigeni kama kanuni za
usajili zinavyoagiza, baada ya...
Thursday, July 24, 2014


KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic,
KWA muda mrefu tumekuwa
tukizungumzia suala la klabu kuwa na viwanja vyake vya soka kwa ajili ya
mazoezi huku mkazo wetu ukiwa katika klabu za Ligi Kuu.
Hoja yetu hii kwa wakati wote imekuwa
ikizinyooshea kidole klabu kongwe za Simba...


Akizungumza na Mwanaspoti, Coutinho raia wa Brazil alisema kwa sasa bado
hawezi kusema moja kwa moja kuwa ana uhakika wa kuingia katika kikosi
cha kwanza cha Yanga kwa vile hajajua uwezo wa wenzake wanaocheza nafasi
kama yake ambao wapo katika vikosi vya mataifa yao.
KIUNGO wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho
(pichani )amesema anafurahia zaidi staili...


Manchester
City wamevunja Mechi yao ya Vijana wa chini ya Miaka 21, U-21, dhidi ya
HNK Rijeka huko Novigrad, Croatia hapo Jana kwa madai ya kukashifiwa
Kibaguzi kwa mmoja wa Wachezaji wao. Wakati
Mechi ikivunjika, City walikuwa mbele kwa Bao 1-0 na walitoka nje mara
tu baada ya Kiungo wao, Seko Fofana, kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu
baada kumtandika Teke mpinzani lakini inaaminika...



Barcelona wamemsaini Beki wa Valencia Jeremy Mathieu kwa Mkataba wa Miaka Minne kwa Ada ya Euro Milioni 20.
Mathieu, mwenye Miaka 30, ameichezea France mara mbili na anaweza kucheza kama Fulbeki wa Kushoto au Sentahafu. Beki
huyo anarithi nafasi ya Nahodha wa zamani wa Barcelona Carlos Puyol
ambae amestaafu baada ya kuitumikia Klabu kwa Miaka 15.
Taarifa kutoka Barcelona imesema...


Manchester United imetoa Ofa ya mwisho
kwa Juventus ya Pauni Milioni 39 kumnunua Kiungo wao, Juventus, kwa
mujibu wa Jarida la Michezo la Italy, Tuttosport. Ofa hiyo, ya
staili ya: 'Chukua Hutaki Basi', inaaminika inaweza kufungua milango kwa
Juventus kukubali kumuuza Kiungo wao mahiri kutoka Chile alieng’ara
sana huko Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia.
Vidal alijiunga na...


Rooney na Welbeck wakipongezanaWelbeck ndie aliyeanza kuifungia bao la mapema dakika ya 13 United
Asubuhi hii Manchester United waliifunga
LA Galaxy Bao 7-0 Uwanjani Rose Bowl, Pasadena, California mbele ya
Mashabiki 86,432 katika Mechi ya kwanza chini ya Meneja wao mpya Louis
van Gaal na kutwaa Kombe la Chevrolet.
Dakika ya 13 Danny Welbeck ameifungulia
mlango wa mabao Man United...


WAKATI
himaya mpya ya Meneja mpya Louis van Gaal imeanza Jumatano
huko Pasadena Rose Bowl kwa Washabiki 70,000 kufurika kuiona Manchester
United, Mchezaji wa zamani wa Timu hizo
mbili David Beckham alitembelea Hoteli ya Beverly Hills kuwasabahi
Marafiki zake wa Man United.Beckham,
Lejendari wa Man United, yuko huko Los Angeles kwa matembezi na alifika
Hotelini na kuongea na Wachezaji...


Bendi
Mahiri na Machachari Jijini Dar Skylight Band wametoa wimbo wao wa Tano
ikiwa ni muendelezo wa kutoa nyimbo tofauti tofauti kupitia Studio yao
ya kisasa ya Skylight Production.
Akiongea
na Mtandao huu Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba AK47 amesema wimbo huo
unaitwa “Pasua Twende” ambo umetungwa na Mkurugenzi Mkuu wa bendi hiyo
Dk. Sebastian Ndege akishirikiana na wanamuziki wa Bendi...


Bondia
Ibrahimu Maokola akipiga beg zito wakati akijifua katika GYM ya okaido
iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na
Selemani Mkalakala pambano litakalofanyika Agosti 9 ,2014 katika ukumbi
wa Amenya Pub uliopo Mbagala picha na
Bondia
Ibrahimu Maokola akijifua Okaido GYM iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili
ya kujitaharisha...


Kikosi
cha Mtibwa Sugar msimu uliopita. Mlinda mlango Hussein Sharrif
`Casillas` amejiunga na Simba majira haya ya kiangazi na kusaini mkataba
wa miaka miwili
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
TIMU nyingi zinazoshiriki ligi kuu
soka Tanzania bara zipo katika maandalizi ya kujiwinda na msimu mpya
utakaoanza kushika kasi septemba 20 mwaka huu.
Wakata miwa...


Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
WEKUNDU wa Msimbazi Simba
wamedhamiria kurejesha heshima yao iliyopotea kwa miaka mitatu mfululizo
katika michuano ya ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba ambayo imemuongezea mkataba
wa mwaka mmoja kocha wake mkuu, Mcroatia, Zdravko Logarusic ipo katika
maandalizi ya msimu mpya na malengo yao kwasasa ni kuelekea katika
mchezo maalumu wa kirafki utakaopigwa...


Raha tupu: Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney akimpongeza Danny Welbeck baada ya kufunga bao la kwanza.
LOUIS Van Gaal ni kiboko. Awaonya Jose Mourinho na Asernal Wenger kuwa amekuja kufanya kazi Old Trafford.
Jana usiku ameshusha majanga kwa
LA Galaxy baada ya kuitandika mabao 7-0 katika mchezo wa kirafiki wa
maandalizi ya kabla ya Msimu nchini...


MECHI
kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa
baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.
Waandamanaji
hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa
Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa
Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na...
Subscribe to:
Posts (Atom)