Tuesday, August 19, 2014

Benfica wamekamilisha Usajili wa Kipa Brazil Julio Cesar ambaye alikuwa anaidakia timu ya QPRJulio Cesar mwenye miaka 34 alisainiwa na Klabu ya Uingereza QPR mwaka 2012.Julio Cesar akiokoa mkwaju wa penati kwenye Kombe la Dunia Soma Zaidi Hapa » Posted by Faustine Ruta at 8:21:00 PM 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest LUIS...
Razack Siwa (kushoto) akiwa na aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Mholanzi, Ernie Brandits Na Mwandishi Wetu, Tanga ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini. Siwa ameingia...
MFUMO wa usajili wa elekroniki wa Shirikisho la soka duniani FIFA,  ‘FIFA TMS’ leo ametoa ripoti mpya ukionesha hali halisi ya soka la usajili la kimataifa likizihusisha klabu kutoka nchi za England, Ufaransa, Ujerumani, Italia na Hispania katika majira haya ya kiangazi ya usajili . Dirisha la usajili litafungwa septemba 1 mwaka huu. Na kwa mataifa haya matano yaliyopo katika soka...
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAAFANDE wa JKT Ruvu wamekamilisha usajili wa wachezaji watatu kati ya wengi waliokuwa wanafanya majaribio chini ya kocha mkuu, Fredy Felix Minziro. Beki wa kulia aliyeichezea Simba sc msimu uliopita, Haruna Ramadhan Shamte amesajiliwa na maafane hao na kusaini mkataba mwa mwaka mmoja. Pia nyota wa zamani wa Simba sc na Azam fc, Jabir Aziz ‘Stima’ ameanguka...
  BEKI wa Kimataifa wa Argentina anaechezea Klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno, Marcos Rojo, amethibitisha kuhamia Manchester United. Akiongea na Redio ya Nchini kwao Argentina, Kituo cha Radio Continental, Marcos Rojo, mwenye Miaka 24, amesema ameshakamilisha Uhamisho wa ‘Ndoto yake’ kwenda Man United. Jana iliripotiwa kuwa Man United ilikubali kulipa Ada ya Uhamisho ya Euro Milioni...

waliotembelea blog