Monday, September 21, 2015

 Mke wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth John Magufuli akiwasalimia wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa ya kumchagua mumewe Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano,kwenye  uchaguzi mkuu unaotarajiwa wa Oktoba 25 mwaka huu. Mara bada ya kuhutubia chumba chetu cha habari kilihemewa...
Mgombea urais wa Tbanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwenye Uwanja wa Michezo mjini Chato, mkoani Geita, jimbo alilokuwa Mbunge. Pia alitumia fursa hiyo kuwaaga wapiga kura wake.Mkutano huo wa kampeni ulijaza watu kupita kiasi  jambo ambalo wenyeji wa wilaya hiyo pamoja...
Nimepita kwenye page ya Facebook ya BBC Swahili nikakutana na hii stori ambayo nimeguswa kuishare hata hapa millardayo.com kuhusu nchi ya Ethiopia kuzindua Treni za umeme.   Ripoti inasema Treni hizi ambazo zimezinduliwa...
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua kupiga stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu mjukuu wake kudaiwa si damu yake..amesema yale yalikuwa ni maneno ya Magazeti..anasema...
David Robert Joseph Beckham ni staa wa Soka ambaye kastaafu Soka na kuacha Rekodi kubwa na nzuri zinazoheshimika Duniani, yako maneno kwamba maji hufuata mkondo, mtoto wa Beckham na Soka la Baba yake je? Stori ni vice versa, David Beckham kathibitIsha kwamba mtoto wake na Mchezo wa Mpira...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imewawezesha vijana wajasiriamali wa kikundi cha MINARACO kutoka mkoani Mbeya wanaojishughulisha na ufugaji wa nyuki. Kikundi hicho kinaundwa na vijana 76 walioamua kuungana na kujihusisha katika ufugaji wa nyuki ili kujikwamua na changamoto za maisha. Kupitia mradi wa Airtel FURSA kikundi hicho kimewezeshwa kwa kupatiwa mizinga ya nyuki 20, mashine za...
bazira.com CHELSEA iliyokuwa inayumba katika Ligi Kuu England ambayo wao ni mabingwa watetezi, imeibuka na kuitwanga Arsenal kwa mabao 2-0. Ushindi wa Chelsea huenda haukupewa nafasi kubwa kutokana na timu hiyo kuanza ligi kwa kusuasua, huku kocha wake, Jose Mourinho akionekana kutojielewa. Lakini sasa imeibuka na kushinda dhidi ya Arsenal iliyoonekana kubadilika na angalau...
Beki kisiki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, baada ya kusikia tambo za straika wa Simba, Mganda, Hamisi Kiiza, amemjibu kwa kumwambia aache kuchonga sana kwani watakutana uwanjani Jumamosi. Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo Kiiza ameanza kwa kusema atahakikisha anaifunga Yanga kwenye mchezo huo. CANNAVARO... Cannavaro...
Huku presha ikiwa ndiyo inazidi kupanda kuelekea mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga ambao utapigwa wikiendi hii, straika Mzimbabwe wa Yanga, Donald Ngoma, anaandaliwa mpango maalumu na wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya kuzitikisa nyavu za Simba. Ngoma ambaye mpaka sasa amefanikiwa kufunga mabao matatu, kwa mara ya kwanza atakuwa anashiriki mchezo huo wa Simba na Yanga. Mshambuliaji...
Anthony Martial Mechi yake ya kwanza tu ya Ligi Kuu England ambayo alianza tangu mwanzo, Amefunga Bao 2 wakati Manchester United inaicharaza Southampaton Bao 3-2 katika Mechi ya Jumapili ya Ligi Kuu England huko Saint Mary. Mechi yake ya kwanza kabisa ya Ligi kwa Martial, Kijana wa Kifaransa wa Miaka 19 tu, ilikuwa huko Old Trafford hapo Septemba 12 ambapo aliingizwa toka Benchi na kupachika...

waliotembelea blog