Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza
siku 40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua
kupiga stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu mjukuu wake
kudaiwa si damu yake..amesema yale yalikuwa ni maneno ya
Magazeti..anasema Mungu kawafedhehesha wote waliokuwa wakisema hivyo kwa
kuwa mjukuu wake ni kopy ya Diomond kuanzia pua, mdomo macho na pia
anatabia zote alizokuwa nazo Diamond.
Diamond amesema kama mzazi lazima ajue jinsi ya kuwa mbunifu kwa kutumia kampuni kubwa kama ambavyo amefanya kwa mwanaye, anasema mtoto akiwa balozi wa kampuni yoyote inasaidia sana katika kupunguza gharama na hata kumsaidia katika maisha yake ya baadaye.
Mahakama ya mwanzo ya Ilala leo imemwachia huru Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha ambaye alikuwa na tuhumu za kesi ya kumbaka shemeji yake…amefunguka na kusema Mungu ni mwema ameshinda kesi, anamshukuru sana Mungu, anawashukuru Watanzania wote kwa kumuombea kwa kuwa alikua kwenye mapito magumu sana katika maisha yake.

0 maoni:
Post a Comment