Monday, June 1, 2015

Adidas imekizindua kiatu maalum cha Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Uefa Champions League kati ya timu yake ya Fc Barcelona dhidi ya Juventus. Messi atakitumia kiatu hicho pia kwenye mashindano ya Copa Americ...
Mlinda wa mlango wa Manchester United, David De Gea ameshindwa kutegua kitendawili kilichotanda juu ya mstakabali wake katika klabu hiyo na kuzipa nguvu tetesi za yeye kuhamia Real Madrid anakohusishwa nako kwa muda mrefu sasa. Real Mdrid inayotazamiwa kumtangaza Rafa Benitez kama mrithi wa Carlo Anceloti katika klabu hiyo yenye maskani yake Santiago Bernabeu, imekuwa ikihaha kunasa...
Tanzania imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda kati ya Juni 6, 7 mwaka huu jijini Kigali, kwenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbali, Tanzania itapeleka kikosi cha vijana U23 katika mchezo huo utakaochezwa mwishoni mwa wiki. Kufuatia kupata mwaliko huo kikosi cha U23 kitaondoka nchini ijumaa tarehe 5, Juni 2015 kuelekea nchini Rwanda kikiwa na wachezaji...
Bondia Francis Cheka (kulia) akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Francis Cheka (kulia) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O...
Afisa habari wa Yanga Jerry Muro (katikati) akimkabidhi jezi kiungo mshambuliaji wao mpya, Balimi Busungu (kulia) aliyekuwa akichezea Mgambo JKT ya Tanga kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kumtambulisha kwa wandishi wa habari leo. Kushoto ni meneja wa timu ya Yanga, Hafidh Salehe. (Picha na Rahel Pallangyo) UONGOZI wa Yanga umemtambulisha mchezaji mpya waliyemsajili Malimi Busungu...
Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha...

waliotembelea blog