Tuesday, December 10, 2013

Baana da Diamond kumkubari huyu jamaa Pia alifunguka  maneno haya: ilikuwa ni juzi kwenye show yangu  TCC chang'ombe.ambapo sikuwa na mwanangu,Nay true boy so  ilinibidi niombe mtu mmoja kati ya mamia ya  mashabiki waliokuwepo amwakilishe True boy kwenye  music gani ndipo dogo akajitokeza na siku hiyo ndiyo...   nimekubali kweli vipaji...
MECHI ya Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kati ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ na Kenya ‘Harambee Stars’ iliyopangwa kuanza Saa 7:00 mchana huu Uwanja wa Kenyatta, Machakos, imeahirishwa na sasa itachezwa Saa 12:00 jioni Uwanja wa Nyayo, Nairobi, Kenya. Hii ndiyo hali halisi ya Uwanja wa Kenyatta, Machakos ...
Melfu waliokusanyika kuhudhuria misa ya wafu ya Mandela Maelfu wamekaidi hali mbaya ya hewa na kufurika uwanja wa FNB kuhudhuria misa ya wafu ya rais mstaafu wa Afrika Nelson Mandela. Je una ujumbe wowote kwa watu wa Afrika Kusini? Unaweza kuutuma kwenye ukurasa wetu wa  na kisha nitauweka...
Maelfu ya watu wanaendelea kuwasili katika uwanja mkubwa wa FNB mjini Johanessburg kwa ajili ya misa ya wafu ya hayati Nelson Mandela, Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video ...
MARAIS 91 akiwemo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi wengine kutoka pembe zote ulimwenguni wanaotarajiwa kuhudhuria ibada ya wafu ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Jumanne mjini Johannesburg. Huo unatarajiwa kuwa mkusanyiko mkubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika karne hii, ambapo marais wanne wa Amerika watahudhuria. Itakuwa pia mara ya kwanza kwa ...

waliotembelea blog