Saturday, July 12, 2014

Bado mabishano ya kuwalinganisha yataendelea bila kujali nini kitatokea kesho jumapili, vinginevyo Messi anamaliza maisha yake ya soka kwa kutwaa kombe la dunia, hapo sasa atawashawishi wengi kuwa mkali kama  Maradano na Pele. WAKATI umewadia. Mara nyingi kumekuwepo na mjadala wa nani mkali kati ya Diego Maradona na Lionel Messi. Wengi wanasema Messi hajashinda...
Maafisa wa usalama nchini Brazil Afisa mmoja mwandamizi nchini Brazil Jose Mariano Beltrame amesema kuwa mji wa Rio de Jeneiro unajiandaa kuweka usalama wa hali ya juu katika historia ya fainali ya kombe la dunia kati ya Argentina na Ujerumani siku ya jumapili. ...
KAGERA SUGAR: TUMEGONGA MWAMBA KUPATA MBADALA WA THEM FELIX `MNYAMA`, LAKINI TUMENASA VIJANA CHIPUKIZI Kitaifa Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAKATA miwa wa Kaitaba, Kagera Sugar, rasmi wameanza kambi kujiwinda na mikikimikiki ya ligi kuu soka Tanzania bara inayotarajia kuanza kutimua vumbi septemba 20 mwaka huu. Kocha msaidizi wa klabu hiyo, Murage...
Diamond Platinumz alipokewa kwa shangwe jana (July 10) katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere na wadau mbalimbali wa muziki na mashabiki wake akitokea Marekani alikoenda kushiriki katika tuzo za BET.   Wema Abraham Sepetu alifika pia katika uwanja huo kumpokea asali wake wa Moyo na alipata nafasi ya kuzungumza na Fadhili Haule, mtangazaji wa kipindi cha Sunrise cha 100.5...
Liverpool imethibitisha kwamba wamekubali kumuuza Straika wao Luis Suarez kwa Barcelona. Wiki ijayo Suarez atasafiri kwenda Barcelona kupimwa Afya yake na kusaini Mkataba wa Miaka Mitano. Hivi sasa Suarez yupo kwenye Kifungo cha Miezi Minne alichopewa na FIFA baada kumuuma Meno Beki wa Italy Giorgio Chiellini wakati wa Mechi ya Kombe la Dunia kati ya Uruguay na Italy huko Brazil hapo Juni...

waliotembelea blog