Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa stejini.
NCHI yetu imejaaliwa kuwa na vijana wengi wenye vipaji karibu katika
kila nyanja. Wapo waliojaaliwa kupewa na hawajui kuvitumia pasipo
mwongozo, lakini wengine wanajua kuvitumia na kujiongoza.
Shilole akijiachia stejini na shabiki.
Katika Bongo Fleva na Filamu, fani zinazokimbiliwa zaidi na vijana,
lipo...
Friday, November 15, 2013



Baada ya Nigeria kuongoza kwa baadhi ya watu wake wengi kumiliki magari
ya bei mbaya, sasa kenya wasema kua nao hawapo nyuma. Nimebahatika
kuipata picha ya gari aina ya Aston Martin DB 9 yenye thamani ya
$300,000 za kimarekaniau milioni 483 za kibongo. Bado haijajulikana gari
hiyo hasa inamilikiwa na nani lakini imeonekana ikikatiza mitaa ya
nairob...


MWIGIZAJI
wa Filamu Bongo Dianarose kimaro ‘Diana’ ametamba kwa kusema kuwa
amekamilika katika tasnia ya filamu na hakuna mwigizaji wa kike ambaye
anamfikia kwa kiwango alicho nacho katika uigizaji kwani kila
akiwangalia wanaigiza kawaida na hajaona mpinzani wake wa kweli katika
fani hiyoSwahiliwood kwa sasa.
Diana aka Sikujua mwigizaji wa filamu Swahiliwood.
“Nilipokuwa
shule nilijitenga...



WAKATI filamu nyingi za bongo bajeti yake si ile ya kushtua mtu kama kazi za wasanii wa mbele, na kwa kulitazama hilo msanii Jackline Wolper
ameamua kuweka wazi fungu lake ili kwa wale wanaotaka kumshirikisha
kwenye filamu zao basi wajue kuwa anaweza kucheza kuanzia milioni 1 na
kuendelea chini ya hapo hapotezi muda.
Wasanii wa Tanzania wanatatizo kubwa la kutotumia...


Tuhuma ya mastaa Bongo kujihusisha na mambo ya ulozi au uchawi
imeibuliwa upya na safari hii bundi kajikita zaidi kwenye kiwanda cha
sinema za Kibongo, Ijumaa lina ripoti kamili.
Jack Wolper.
UCHUNGUZI Uchunguzi wa gazeti hili ndani ya
ulimwengu wa mastaa hao ulibaini kwamba, ukiwaacha wale wa Bongo Fleva
ambao wamekuwa wakishikana uchawi kila kukicha, kwenye filamu ndiko
hakufai.
Ilibumburuka...



At 17, Julia Montes is the proud owner of a new two-story
home in Antipolo City. She never expected to be able to buy her own house at
such a young age. And she’s excited to sleep in a bedroom of her own!
She and her family will move to the new house in April.
“I used to share a room with my four siblings. I would get
so stressed out whenever the room was in disarray,” Julia tells Living...
Subscribe to:
Posts (Atom)