Monday, October 20, 2014

Jumamosi John Terry alicheza Mechi yake ya 500 kama Nahodha wa Chelsea na kusema anasikia fahari kuongoza Timu hiyo.Terry, alivishwa Unahodha na kucheza Mechi yake kama Kepteni wa Chelsea Desemba 5, Mwaka 2001 walipofungwa kwao Stamford Bridge Bao 1-0 na Charlton Athletica na Jumamosi, akicheza Mechi yake ya 500 tangu Siku hiyo, aliiongoza Chelsea kuichapa Crystal Palace Bao...
UEFA CHAMPIONS, Kesho Jumanne Usiku inaanza Mechi zake za Tatu za Makundi ambapo safari hii Timu zitakazocheza zitakuwa zinacheza nje ndani, yaani kukutana Wiki hii na kurudiana Timu hizo hizo katika Ratiba inayofuata.Wachezaji wa City wakipasha Wachezaji wa Man City wakipasha kujiandaa na kipute cha kesho kwenye UEFA champions dhidi ya CSKA Moscow. CSKA MOSCOW vs MANCHESTER CITYMabingwa ...
Dakika ya 87 Daley Blind aliisawazishia bao Man United na kufanya 2-2 na kuwaokoa Man United huko Hawthorns kwa sare hiyo ambayo aikuleta mabadiliko kwa timu zote mbili licha ya kugawana pointi moja. Sare hii inambakisha Man United nafasi ya 6 na pointi zake 12 huku West Brom Albion wakibaki nafasi ya 15 na pointi zao 9. Dakika ya...
KIUNGO wa zamani wa Arsenal Ray Parlour amesema Msimu huu Klabu yake hiyo ya zamani isiwe na matumaini yeyote zaidi ya kumaliza Nafasi ya 3 au ya 4 kwenye Ligi Kuu England. Matokeo hayo yamewaacha Arsenal wakiwa Nafasi ya 6 wakiwa Pointi 11 nyuma ya Vinara Chelsea na Pointi 6 nyuma ya Timu ya Pili, Manchester City, ambao ni Mabingwa Watetezi. Hivi sasa huko England ipo dhana kubwa kuwa...
Louis van Gaal amesema wapo kwenye hali njema wakati anaitayarisha Timu yake Manchester United Jumatatu Usiku kwenda huko The Hawthorns kuivaa West Bromwich Albion kwenye Ligi Kuu England. Akiongea Jana na Wanahabari kuhusu Mechi hiyo, Meneja huyo alisema hivi sasa ni Wachezaji Wanne tu ambao ndio Majeruhi na Ijumaa aliweza kuwa na Wachezaji wengi wa Timu ya Kwanza kiasi cha kutolazimika...
Mmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa...

waliotembelea blog