Sunday, July 5, 2015

Wenyeji Chile wametwaa Taji lao la kwanza kabisa baada ya kuibwaga Argentina kwa Penati 4-1 kufuatia Sare ya 0-0 katika Dakika 120 za Fainali ya Copa America, Kombe la Mataifa ya Marekani ya Kusini, iliyochezwa mbele ya Halaiki ya Mashabiki ndani ya Estadio Nacional Santiago Jijini Santiago. Kipigo hiki kimeendeleza ukame wa Argentina wa Miaka 22 wa kutotwaa Taji lolote tangu walipobeba...
ENGLAND imemaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kombe la Dunia wanawake nchini Canada kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ujerumani leo. Dakika 90 zilimalizika timu hizo zikiwa hazijafungana na katika dakika 30 za nyongeza, ndipo England wakajibebea Medali ya Shaba/ Ilikuwa ni dakika ya 108 wakati refa Ri Hyang-ok alipowapa penalti England baada ya beki wa Ujerumani, Tabea Kemme kumuangusha...
John Bocco akishangila baada ya kuipatia Tanznaia bao la kwanza kwa mkwaju wa penati . Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager imetoka sare ya bao 1- 1 dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2017 nchini Rwanda uliofanyika...

waliotembelea blog