Ligi kuu England itaanza Agosti 16 na leo hii Ratiba ya Msimu mpya wa 2014/15 imetangazwa. Mabingwa
Manchester City wataanza Ugenini na Newcastle wakati Meneja mpya wa
Manchester United, Louis van Gaal, atakuwa Nyumbani Old Trafford kucheza
na Swansea City. Arsenal wataanza Nyumbani kucheza na Crystal Palace na Chelsea wako Ugenini kuivaa Timu mpya iliyopanda Daraja Burnley. Siku hiyo ya...