Monday, January 4, 2016

Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa...
Pamoja na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa kwa mara nyingine lakini kocha wao mpya Guus Hiddink ana mipango mingine ya ushindi. Baada ya ushindi wa jana wa mabao 3-0 Hiddink amesema klabu yake hiyo inaweza kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi nne bora za juu mwishoni mwa msimu huu. Klabu hiyo ya Stamford Bridge imeenda...
Paco Alcacer akishangilia baada ya kuisawazishia bao dakika za majeruhi na kufanya 2-2Real Madrid bao limefungwa na Karim Benzema dakika ya 16' Valencia CF 1, Real Madrid 1. Daniel Parejo wa (Valencia CF) aliifanikishia bao kwa mkwaju wa penati na kwenda mapumziko kwa bao 1-1. Alcacer akipongezwa na mwenzie Andre Gomes Bao hilo liliwafanya wagawane pointi na Real Madrid Wachezaji wa Valencia...
Espanyol's Hernan Perez (right) tugs Lionel Messi's shirt during the opening period against Barcelona on Saturday afternoon Barcelona forward Neymar (left) drives towards Espanyol's goal in a bid to open the scoring in the first Catalan derby of the seasonAndres Iniesta brings the ball down on his chest during Barcelona's visit to the Estadi Cornella-El Prat in their first...
Espanyol's Hernan Perez (right) tugs Lionel Messi's shirt during the opening period against Barcelona on Saturday afternoon Barcelona forward Neymar (left) drives towards Espanyol's goal in a bid to open the scoring in the first Catalan derby of the seasonAndres Iniesta brings the ball down on his chest during Barcelona's visit to the Estadi Cornella-El Prat in their first...
Wayne Rooney Leo ameipa mguu mwema wa kuanza Mwaka Mpya wa 2016 alipoipa Manchester United ushindi kwa kufunga Bao la ushindi walipoifunga Swansea City 2-1 katika Mechi ya Ligi Kuu England. Wayne Rooney akishangilia bao lake la ushindi la pili2-1Martial na Rooney wakipongezanaRooney Ushindi huu, ambao ni wa kwanza katika Mechi 8, umeipandisha Man United hadi Nafasi ya...
WAKATI Klabu ya Bournemouth ikiingia Sokoni kumchukua Kiungo wa AS Roma Juan Manuel Iturbe kwa Mkopo hadi mwishoni mwa Msimu, Meneja wa Man United Louis van Gaal anatafakari kununua Straika ili kunoa Fowadi yake butu huku ripoti zikidai Chelsea na Arsenal zina nia ya kuchukua Mastaa kutoka Uswisi na Italy. Juan Manuel Iturbe Iturbe, mwenye Miaka 24 na ni Mchezaji kutoka...
Linkwithin Ligi Kuu England inaanza Mwaka Mpya 2016 kwa Mechi za Jumamosi Januari 2 na Mechi ya kwanza kabisa ni huko Upton Park kati ya West Ham na Liverpool. Hadi sasa kila Timu kwenye Ligi hiyo imecheza Mechi 19 ambazo ni nusu ya Mechi zao zote na hivyo Mechi za sasa ni kuanza kwa Raundi ya Pili ya Ligi hiyo ambayo Msimu huu imekuwa haitabiriki. Mbali ya Mechi hiyo ya...

waliotembelea blog