Mchezaji
wa timu ya mpira wa Kikapu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),
Ephraim Mlawa (kushoto) akichuana na Juvenary Shichose wakati Bonanza la
michezo la wanafunzi wa Chuo hicho lililofanyika, mwishoni mwa wiki
katika Kituo cha Michezo cha JMK Youth Park na kudhaminiwa na Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kutoa vifaa vya michezo kwa timu
zilizoshiriki mchezo wa soka. (Picha...
Monday, November 16, 2015



KIKOSI
cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro Premium Lager kimewasili salama nchini Algeria leo jioni
majira yaa 10 jioni, kabla ya kuanza safari ya kuelekea katika mji wa
Bilda.Msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya
Utendaji, Athumani Kambi, ambapo jumla ya watu 40 wapo katika mji wa
Bilda wakiwemo wachezaji 21 wanaojiandaa...


Ikiwa timu ya Taifa ya Tanzania ipo Algeria tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi dhidi ya timu ya taifa ya Algeria katika mji wa Blida uwanja wa Mustapha Tchaker Jumanne ya November 17, majirani zao wa Kenya bado wanaripotiwa...


Staa wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi November 16 ameingia katika headlines baada ya stori zake za kutaka kujiunga na Arsenal kuandikwa katika headlines za magazeti ya Ulaya, awali Lionel Messi ambaye ameichezea FC Barcelona toka akiwa mdogo aliwahi kukiri kuvutiwa kujiunga na klabu ya Arsenal ya Uingereza.
Messi...
Subscribe to:
Posts (Atom)