1. Diamond Platnumz
Hakuna
ubishi kuwa, mwaka 2013 Diamond Platnumz ndiye msanii aliyeingiza fedha
nyingi zaidi. Pesa nyingi ya Diamond imetokana na malipo ya show zake
za ndani na nje ya nchi. Kwa uhakika, mwaka huu pekee, Diamond
amefanikiwa kuingiza takriban shilingi bilioni 1.
Kwa
show za ndani peke yake, Diamond hutoza si chini ya shilingi milioni...
Tuesday, December 24, 2013


Mchungaji Gwajima.
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa SIRI
nzito imefichuka! Baadhi ya maaskofu na wachungaji (baadhi lakini) wa
makanisa ya kilokole nchini wanadaiwa kutumia hirizi ili kujaza waumini,
Uwazi limenyetishiwa.
SEHEMU ZINAZOKAA HIZIRI Kwa mujibu wa mfichua siri huyo,
watumishi hao wa Mungu wanaojihusisha na ushirikina wamekuwa wakizifunga
hiziri hizo sehemu ya juu...
Subscribe to:
Posts (Atom)