
Taarifa mpya zilizotoka kwa mganga mkuu wa hospitali ya mkoa asubuhi ya
September 6 2014 ni kwamba idadi ya vifo imeongezeka kutoka 34 jana na
sasa ni 39 ambapo idadi iliyoongezeka ni wale waliofia Hospitali.
Shuhuda Patrick ambae ni mtangazaji wa Radio aliekua kwenye gari nyuma
ya moja ya haya mabasi anasema wenye makosa ni madereva wa mabasi ambao
walikua kwenye mwendo...