Thursday, August 7, 2014

MWANASHERIA wa Luis Suarez anajiamini kuwa adhabu ya kifungo cha miezi minne cha mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez itapunguzwa na mahakama ya juu ya rufani ya michezo ya CAS ambapo rufani hiyo itasikilizwa kesho ijumaa. Suarezi alikata rufaa kupinga adhabu ya kufungiwa shughuli zote za soka na FIFA na rufani yake itasikilizwa Agosti 8 mwaka huu katika mahakama hiyo iliyopo Lausananne,...
Bado nipo nipo kwanza!: Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, ameamua kuongeza mkataba mpaka mwaka 2019.  KARIM Benzema ameamua kuzeekea Real Madrid baada ya kuongeza mkataba wake mpaka mwaka 2019. Nyota huyu alikuwa anahusishwa kujiunga na baadhi ya klabu za ligi kuu, lakini biashara imekatika ghafla na sasa Mfaransa huyo ataendelea kudunda dunda Santiago Bernabeu. Arsenal,...
Mpya: Msimu ujao Ligi kuu nchini England imethibitisha matumizi ya dawa hii ya kupulizia. BAADA ya kuthibitisha matumizi ya dawa maalumu ya kupulizia, ile inayokauka haraka na alitumiwa kombe la dunia, bodi ya ligi kuu England imeripotiwa kuagiza chupa 2,000 kwa ajili ya marefa msimu ujao, kwa mujibu wa gazeti za  Daily Telegraph. Waamuzi watamaliza msimu...
SIKU iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani mbalimbali imewadia ambapo kesho Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini litakapokuwa likichukua nafasi. Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli. Akizungumza na Centre Spread, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kuwa maandalizi yote yameshafanyika...
   Pepe ReinaKlabu ya Bayern Munich wameukubali mpango wa kumsajili mlinda mlango wa Liverpool, Pepe Reina.Klabu hiyo ya ujerumani kupitia mtandao wao wa Twitter wameandika, "Mlinda mlango Pepe Reina yuko tayari kuhama kutoka Liverpool kuja FC Bayern kisha vipimo vya afya vitafuata.Mwispainia huyo amepoteza nafasi yake kama mlinda mlango nambo moja wa Liverpool kutoka kwa Meneja...
Brendan Rogers atoa sababu za kufungwa na United katika International Champions Cup.Meneja wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers, ameelezea hisia zake baada ya kupoteza mchezo wa hatua ya fainali ya michuano ya International Champions Cup dhidi ya Man Utd uliochezwa usiku wa kuamkia jana  mjini Miami nchini Marekani.Rodgers, amesema matokeo ya mchezo huo hayajamvunja moyo wa kuendelea...
Mwakilishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (kushoto) akisalimiana na baadhi ya Wanamichezo waliokuwa kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland mara walipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo...
NYOTA wawili wa Klabu ya Barcelona ya Hispania, Neymar na Lionel Messi, Jana walirejea rasmi kikosini humo na  kuanza kujifua baada ya kumaliza mapumziko ya Muda kufuatia kumalizika kwa michuano ya Kombe la Dunnia huko Brazil. Wemeungana na wenzao Javier Mascherani na Dani Alves. Messi na Mascherano walikuwemo katika kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina iliyofanikiwa kutinga...

waliotembelea blog