Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na wachezaji wake leo hii asubuhi kwenye mazoeziKocha wa Arsenal, Arsene Wenger
Arsene Wenger akihakikisha timu yake inafanya mazoezi ya kutosha.Mertesacker na KoscielnyKocha nae ni mchezaji bwana....Wachezaji kutoka Ujerumani hawa....wakiteta hapa...Podolski na OzilOzil na Podolski
UEFA CHAMPIONS LIGI
Raundi ya Mtoano ya Timu 16MARUDIANO
Jumanne Machi 11
22:45 Bayern...
Monday, March 10, 2014


Pichani ni baadhi ya wachezi wa Arsenal na Bayern Munich.
Michuano ya kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya kuendelea leo usiku huku kukiwa na mechi mbili.
Arsenal, inaelekea, Bonn, kutoana
jasho na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munichambayo ilishinda mechi ya
raundi ya kwanza kwa mabao mawili kwa nunge katika uga wa Emirates.
Hata...



Kwa
mujibu wa mtandao wa Goal.com, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na
mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ndio mwanasoka tajiri zaidi
duniani.
Katika
listi hiyo iliyotangazwa leo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza
iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu
msimu uliopita. Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real
Madrid miezi kadhaa...


Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto),
akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria
Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili ambayo
yamekabidhiwa kwa chuo hicho na Shirika la Transaid la nchini Uingereza,
hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika leo asubuhi katika viwanja
vya NIT.
Taswira...


Na Boniface Wambura
Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa
mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo
zile za kimataifa na ligi za hapa nchini.
Tunaiomba
radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya
Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya...



Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Kebwe Kebwe akihutubia kwa niaba ya
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Garib Bilal aliyekuwa mgeni rasmi wa ufunguzi wa kituo hicho.
Ofisa Rasilimali Watu na Utawala wa Bohari ya Dawa (MSD), Shangwe Stephen akiwa kwenye hafla hiyo.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Kebwe Kebwe akiangalia maboksi ya dawa...



Ukikutana tu na picha hizi kwa mara ya kwanza, lazima kitakachokujia
kichwani ni collable ya wawili hawa ambao ni ndugu, Queen Darleen na
Diamond wameanza kupost picha hizi kupitia katika acc zao za mitandao
mbali mbali ya kijamii bila ya kutoa information yoyote juu yake.
katika Status ya picha hizi wawili hao wamekuwa wakiandika "Queen
Darleen +Diamond= ?, status...


Rais Jakaya Kikwete akiongoza Kikao
cha Ujumbe wa Mawaziri na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi nchini kabla ya
kuanza rasmi kwa Mkutano wa Kimataifa wa Kuzuia Biashara Haramu ya
Wanyamapori jijini London, Uingereza.
Mkutano wa Kimataifa kuhusu Biashara
Haramu ya Wanyamapori (Conference...
Subscribe to:
Posts (Atom)