
SHIRIKISHO
la Soka Tanzania (TFF) leo limesaini Mkataba wa udhamini wa miaka
mitatu na mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, wakati
maandalizi ya ligi kuu yakiendelea.
Kampuni
ya Vodacom Tanzania inayoongoza hapa nchini kwa huduma za mawasiliano
imekuwa mdhamini wa ligi kuu kwa miaka minane iliyopita, na sasa
imeingia mkataba mpya wa udhamini kwa miaka mitatu...