Tuesday, March 17, 2015

BADO Mji wa Mafinga wilayani Mufindi mkoani hapa haujakaa sawa kufuatia vifo vya watu 50 waliopoteza maisha kwa ajali ya kontena kudondokea Basi la Majinja lenye namba za usajili T 438 CED iliyotokea Machi 11, 2015, Uwazi limechimba. Mtoto aliyenusurika kwenye ajali. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Changarawe mjini Mafinga ambapo kontena hilo lilikuwa kwenye lori la mizigo la Scania lenye namba...
Arsenal Leo hii huko Stade Louis II Jijini Monaco Nchini France wana kibarua kigumu cha kupindua historia kwa kufuta kipigo cha Bao 3-1 cha Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu ya UEFA CHAMPIONS LIGI walichopewa na AS Monaco ili kufuzu kucheza Robo Fainali. Katika historia ya Mashindano haya, hakuna Timu iliyomudu kufuta kipigo cha tofauti ya Bao 2 walichopewa katika Mechi ya Kwanza...

waliotembelea blog