Straika
mpya wa Liverpool amefanya mazoezi yake ya kwanza leo na Wenzake
Liverpool tangu ajiunge na Klabu hiyo kwenye Uwanja wa Mazoezi wa
Melwood. Benteke akiteta na Mario Balotelli kwa furaha wakati wa Mazoezi Benteke akiwa karibu na mgeni mwenzake Roberto Firmino Benteke akipiga kichwa mpira Benteke akipeana mpira na Philippe Coutinho, aliyecheza Copa America msimu...
Thursday, July 23, 2015


Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli ameambiwa kuwa hatima yake ipo mikononi mwake.
Mchezaji
huyo mtukutu raia wa Italia kwa sasa hajasafiri na wenzake wa Liverpool
katika ziara kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi baadae mwezi
Agosti.Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amenukuliwa akisema hana
uhakika iwapo ataendelea kuwa na Balotelli Liverpool moja kwa moja
katika msimu huu.Liverpool...



Beki wa timu ya LLBA ya Burundi, Hakizimana Issa akijaribu kumzuia
mchezaji wa timu ya APR ya Rwanda, Mubumbyi Barnabe katika mchezo wa
Kome la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijioni Dar es
Salaam. APR imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande) Beki wa LLBA FC ya Burundi, Manirakiza Aruna akioko hatari langoni mwake. Heka heka katika lango la timuya LLBA FC. Simbomana...


Mabingwa
wa England Chelsea wanebamizwa Bao 4-2 na New York Red Bulls wakati
Kijana wa Miaka 16 akiwatoboa moja ya Bao hizo huko Red Bull Arena, New
York katika Mechi yao ya kwanza Ziarani USA.
Bao
za Chelsea zilifungwa na Loic Remy na Eden Hazard lakini ni New York
Red Bulls waliokwenda mbele 3-1 huku Tyler Adams, Kijana wa Miaka 16,
akipiga moja ya Bao hizo. Bao Nyingine za Red Bull...



YANGA
SC wamezinduka katika michuano ya Klabu Bingwa ya soka Afrika Mashariki
na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame, baada ya jioni ya leo kuibuka na
ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Telecom ya Djibouti, Uwanja wa Taifa, Dar
es Salaam.
Yanga
SC iliyoanza vibaya mechi za Kundi A kwa kufungwa 2-1 na Gor Mahia ya
Kenya, sasa inaweza kwenda Robo Fainali iwapo itashinda mechi zijazo
dhidi ya KMKM...



YANGA
SC itahitaji kuifunga KMKM ya Zanzibar kesho, tena ushindi mzuri ili
kujihakikishia nafasi ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki
na Kati, Kombe la Kagame, michuano inayoendelea Dar es Salaam.
Na KMKM itahitaji ushindi ili pia kujihakikishia kwenda Robo Fainali ya michuano hiyo kutoka Kundi A.
Timu
tatu kati ya tano za kundi hilo zitakwenda Robo Fainali kuungana na...



Wachezaji
wa Simba SC wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa
na mechi dhidi ya AFC Leopards mwezi ujao katika tamasha la Simba Day
litakalofanyika na baadaye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kulia ni
kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mserbia Dušan Momcilovic.
...


Chris Brown anaziandika headlines kwa mara nyingine tena, siku chache zilizopita staa huyu alikuwa Ufilipino kwa ajili ya kufanya show, lakini akazuiliwa kuondoka nchini humo jana kutokana na mzozo wa mkataba wake wa nyuma.
Chris Brown alizuiliwa Airport siku ya Jumatano asubuhi akiwa anajiandaa kuondoka na ndege yake binafsi kutoka Manila International Airport kwenda Hong...


Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya Ufaransa amezidisha uvumi wa kuwa huenda akahama timu hiyo kufuatia majibu ya swali aliloulizwa na jibu alilotoa.
Zlatan amekuwa akihusishwa kuhama PSG msimu huu kwa muda mrefu licha ya yeye kutotoa jibu la kukanusha wala kukubali kuhusiana na uvumi huo... Zlatan ambaye amejiunga PSG toka mwaka...


Tetesi za usajili wa kiungo mshambuliaji wa Manchester United, Angel
Di Maria kuondoka Old Trafford na kujiunga na Paris Saint Germain leo
zimechukua sura mpya.
Kwa
siku kadhaa baadhi ya vyombo vya habari nchini Ufaransa vimekuwa
vikiripoti kwamba mchezaji huyo angeuzwa kwa ada ya zaidi ya Euro
Millioni 60 na angetambulishwa rasmi na PSG Ijumaa hii, lakini...
Subscribe to:
Posts (Atom)