Monday, June 8, 2015

…………………………………………………………………. Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC asubuhi na jioni katika uwanja wa Taifa wa Addis Ababa. Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa imekua ikijifua mara mbili kwa siku, kuhakikisha wachezaji...
Mashabiki wameziba barabara kuwasimamisha Mabingwa Barcelona wakati wa kutembeza makombe yao MatatuShamrashamra za hapa na pale!Wauaji!! Mastaa mapacha watatu!Msafara wa Mabingwa Lionel Messi akitoa ne...

waliotembelea blog