Monday, September 8, 2014

Maisha yamebadilika: Kiungo Cesc Fabregas alijiunga na Chelsea akitokea Barcelona  CESC Fabregas amekiri kuwa bado anajihisi kama mchezaji wa Arsenal-licha ya kujiunga na wapinzani wao wa London, klabu ya Chelsea kwa paundi milioni 30 majira ya kiangazi mwaka huu. Kiungo huyo mshambuliaji wa Hispania tayari ameshaonesha makeke Stamford Bridge kwa kutoa pasi za mwisho nne...
Nje: Reus akiugulia maamuzi katika  mechi ya jana usiku dhidi ya Scotland  NYOTA wa Borussia Dortmund, Marco Reus ataikosa mechi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Arsenal huko Westfalenstadion kufuatia kuvunjika mfupa wa kifundo cha mguu katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Euro 2016 dhidi ya Scotland. Mkali huyo wa Ujerumani atakaa nje ya uwanja...
Wasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa na ndugu zao,waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea hivi karibuni wilayani Butiama mkoani Mara,ambapo watu zaidi ya 40 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa musoma wakiwa ndani ya uwanja wa Karume,wakati...

waliotembelea blog