
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na
baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi
wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es
salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na...