Sunday, December 27, 2015

MENEJA  wa Manchester United Louis van Gaal amesema anaweza kuamua kwa hiari yake kuachia ngazi baada ya Jana kupokea kipigo cha 4 mfululizo huko Britannia Stadium walipochapwa 2-0 na Stoke City. Huku kukiwa na uvumi mkubwa kwa Mdachi huyo ambae Kikosi chake hakijashinda katika Mechi 7 kuwa atafukuzwa, Jana akihojiwa na Wanahabari baada ya Mechi hiyo ambayo walishushwa hadi Nafasi...
Mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke akichuana na beki wa Mbeya City, John Kabanda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-0. (Picha na Francis Dande). Mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke akiwatoka mabeki wa Mbeya City. Wachezaji wa Mbeya City wakimzonga mwamuzi Jeonesia Rukyaa kutoka Kagera...
Leo, Chelsea, wakiwa kwao Stamford Bridge, walianza himaya ya Meneja mpya Guus Hiddink kwa Sare. Chelsea walitangulia kufunga katika Dakika ya 32 kwa Bao la Diego Costa na Watford kusawazisha kwa Penati iliyotolewa baada ya Nemanja Matic kuushika Mpira na Penati hiyo kufungwa na Troy Deeney katika Dakika ya 42. Watford walikwenda mbele 2-1 kwa Bao la Odion Ighalo la Dakika ya 56 na Diego...
...
YoungWayne RooneyMeneja wa Stoke CityMan United hii leo imeshushiwa kipigo chake cha 4 mfululuzo na Stoke City walioshinda 2-0 katika Mechi ya Ligi Kuu England na kumfanya kila Shabiki wa Timu hiyo kumchukia Meneja Louis van Gaal na kutaka atimuluwe haraka. Katika Mechi hii ambayo Kepteni wa Man United Wayne Rooney alianza Benchi, Stoke walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 19 baada ya...

waliotembelea blog