Bao
la pili kwa Argentina lilifungwa na Staa Lionel Messi alipowachambua
mabeki na kuachia shuti kali kipindi cha pili dakika ya 65, Akipewa pasi
safi na Gonzalo Higuaín.
Mchezaji aliyeingia kipindi cha pili
akitokea benchi Vedad Ibisevic aliwafunga Argentina bao la kizembe
katika dakika ya 84 baada ya wachezaji wa Argentina kupeana pasi hewa
hisiyokuwa na macho na hatimaye...