Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara
baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani
Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akibusu mkono wa Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu
Methodius Kilaini mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo
katoliki Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya Ibada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea katika katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani
Kagera mara baada ya kuwasili na kupokewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la
Bukoba Desiderius Rwoma (katikati) pamoja na Askofu Msaidizi Jimbo
Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini wa kwanza (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika ibada ya mwaka mpya katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba
mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara
baada ya Ibada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na waumini wa Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani
Kagera mara baada ya Ibada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisali katika kaburi la Marehemu Kadinali Rugambwa mara baada ya Ibada
kanisani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara
baada ya kushiriki Misa ya Mwaka mpya kanisani hapo. Katikati ni Askofu
Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Wageni Kanisani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma
kushoto pamoja na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu
Methodius Kilaini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na masista kanisani hapo mara baada ya Ibada. PICHA NA
IKULU.